Cigogo, Kamusiya Kigogo-Kiswahili-Kiingerezai, Rugemalira J., 2008

Cigogo, Kamusiya Kigogo-Kiswahili-Kiingerezai, Rugemalira J., 2008.     

Lugha ya Kigogo inazungumzwa na watu zaidi ya milioni moja hasa katika mkoa wa Dodoma. Ingawa kuna maandiko kadhaa katika lugha ya Kigogo, kamusi hii ni ya kwanza kuandaliwa kwa lugha hii, ukiondoa orodha ya Mwalimu William Mlagulwa yenye maneno 4821. Maandiko mengi yaliyopo yanahusiana na dini ya Kikristu. Jitihada hizo za maandiko ya Biblia zimetoa mchango mkubwa katika kusanifisha lugha hii. Hivyo kamusi hii imefuata kwa karibu taratibu zilizokubalika katika maandiko hayo.

Cigogo, Kamusiya Kigogo-Kiswahili-Kiingerezai, Rugemalira J., 2008

Mpangilio.
Kamusi hii imepangwa katika utaratibu wa kawaida wenye kuonyesha maana ya kila kidahizo kwa Kiingereza na Kiswahili. Maneno yenye tahijia moja lakini maana tofauti, yaani homonimu, yameingizwa yakifuatiwa na tarakimu ndogo 1, 2, na kuendelea. Utaratibu huu umefuatwa hata kama maneno husika yanatofautishwa na toni katika matamshi. Vitenzi vimeorodheshwa kwa mzizi; lakini nomino zimeorodheshwa kwa kiambishi cha ngeli ya nomino katika umoja. Maneno mengine yenye kuchukua kiambishi cha upatanisho (hususani vivumishi, viwakilishi) yameorodheshwa kwa mzizi na alama ya “–“ kabla yake.



Бесплатно скачать электронную книгу в удобном формате, смотреть и читать:
Скачать книгу Cigogo, Kamusiya Kigogo-Kiswahili-Kiingerezai, Rugemalira J., 2008 - fileskachat.com, быстрое и бесплатное скачивание.

Скачать pdf
Ниже можно купить эту книгу по лучшей цене со скидкой с доставкой по всей России.Купить эту книгу



Скачать - pdf - Яндекс.Диск.
Дата публикации:





Теги: :: :: :: ::


Следующие учебники и книги:
Предыдущие статьи:


 


 

Книги, учебники, обучение по разделам




Не нашёл? Найди:





2025-01-22 04:14:33